Watuhumiwa wakishushwa kwenye gari la Jeshi la Magereza, tayari kwa kusomewa kesi zao mahakamani.

Mmoja
wa watuhumiwa akiwa amebebwa na watuhumiwa wenzake kuingizwa
mahakamani, haikujulikana mara moja sababu za kubebwa huko kwani askari
walikataza kuwasogelea.
MWANDISHI wa mtandao huu, leo alinasa matukio kadhaa
katika Mahakama ya Mwanzo ya Kinondoni, ambapo alishuhudia watuhumiwa
wa makosa mbalimbali wakiingizwa mahakamani hapo kwa ajili ya kusomewa
mashitaka yao.
No comments:
Post a Comment