Kama
ni mtumiaji wa mitandao ya kijamii bila shaka utakuwa umekutana na
picha ambayo inaonyesha hotel ya Naura ikiungua moto huku nyingi
zikionyesha moto wake umeshika kasi kwenye kuwaka.
Baada ya kusambaa kwa picha hizo www.shakoorjongo.blogspot.com ilimtuma mwakilishi
wake kutoka Arusha kwa ajili ya kwenda kupata uhakika wa taarifa hizi
ambazo amesema kuwa si za kweli na hata uongozi na wafanyakazi wa hotel
hiyo wameshangazwa na picha hiyo.
Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa kujua haswa picha hiyo
ilipoanzia kusambaa ili kuweza kuwatambua walioanza kuzisambaza picha
hizo.
No comments:
Post a Comment